Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako
Kwa Mungu.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa
Uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza. Yohana 1:1-4

Karibu kwa mcreveil.org


UBATIZO

USHUHUDA WA MARY K. BAXTER

JINSI YA SHAKA KUONDOKA KAMBI YA SHETANI

MASOMO YA BIBLIA


             
             
     
     
       Nenda kwenye tovuti      
     
   
   
     
   
   
             Ee Bwana, Neno lako lasimama imara mbinguni hata milele. Zaburi 119:89
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Zaburi 119:105

Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Yohana 8:32